siansakala
Member
- Aug 12, 2012
- 75
- 10
Nawapa polee sana mliochaguliwa MZUMBE UNIVERSITY,,,chuo hiki ni kizuri LAKIN likzo zao ni ndefu kichizi..mfano first year tulifunga mwezi wa 2 wamefungua mwezi wa 7 mwaka huu,,,afu 2nd year wamefunga mwezi huu wa 8 na wanafungua mwezi wa 2 mwaka 2013...UPO HAPO....kama huna sehemu ya kupigia tempo au job yoyote..LAZIMA UKAE....POLEEEEEEEEEEEEENI SANA..karibuni mzumbe.
chuo kizuri sana hiko
uzuri wa chuo ni kichwa chako,nenda kale bata ukitegemea kufaulu,eti chuo ni kizuri.!