Mzumbe guyz!!!!naomba msaada kwa hili

Mzumbe guyz!!!!naomba msaada kwa hili

REYRO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
968
Reaction score
244
Kwa anayee fahamu kiasi cha pesa zinazo hitajika kwenye stationary expenses kwa wale baf takers anisaidie!!!!!!!!!!thanx in advance!!!
 
kama unataka kujua amount inayotolewa na board ya mikopo ni hyo raia aliyemention hapo juu bt generally cost za stationary zinavary kwa kila m2 kutegemeana na mipango binafsi kwa mfano kuna m2 toka anaanza chuo mpaka anamaliza cost ya stationary iczd hata laki 1.kwa hyo kila ki2 ni mipango 2!
 
then jifunze kuish kigumu semister nzima stationary haizd 50 mi nimeweza am sure u kan make t 2
 
ni laki mbili ingia kwenye web ya chuo then kwenye fee structure utaona
 
Back
Top Bottom