kama unataka kujua amount inayotolewa na board ya mikopo ni hyo raia aliyemention hapo juu bt generally cost za stationary zinavary kwa kila m2 kutegemeana na mipango binafsi kwa mfano kuna m2 toka anaanza chuo mpaka anamaliza cost ya stationary iczd hata laki 1.kwa hyo kila ki2 ni mipango 2!