K kapu JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 218 Reaction score 44 Oct 24, 2013 #1 Kufuatia matangazo yaliyowekwa jana na burser wa chuo,first year wote waliopata mkopo wanahitajika kwenda kusaini ili wawekewe pesa zao za meals&accomodation,pia stationary.
Kufuatia matangazo yaliyowekwa jana na burser wa chuo,first year wote waliopata mkopo wanahitajika kwenda kusaini ili wawekewe pesa zao za meals&accomodation,pia stationary.
V vice UDOM JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 204 Reaction score 9 Oct 25, 2013 #2 me nilijua labda atm zinasoma,kumbe kwenda kusain, mbona cc hapa udom 2mesain hii wk ya 2 lkn atm hazisom.
me nilijua labda atm zinasoma,kumbe kwenda kusain, mbona cc hapa udom 2mesain hii wk ya 2 lkn atm hazisom.