Mnamjua odoooong ..... Odwar
naamini wengi mnakumbuka migomo ya vyuo vikuu kipindi cha 2006 - 2010. Nyuma yake kulikuwa na mtu anaitwa odong odwar mwanafunzi wa udsm raia wa uganda akisoma sheria. Alikua na hela sana.
Kisa ambacho alikuwa amekipanga dhidi ya mzumbe ni kukodisha mabasi kadhaa yaliyobeba wanaudsm wanaoandama ili wakawaoneshe kazi mzumbe huko huko chuoni kwao morogoro kwa vile wao walikuwa hawataki kugoma kushinikiza serikali kuondoa sharti la 40%.
Mipango yoote ya kimafia ilipangwa landmark hotel karibia usiku kucha....bakora ziliandaliwa na zana nyingine za kutolea adhabu kwa wanafunzi wa mzumbe.....dah...mkono wa serikali ni mrefuuuuu aiseee yule mganda alirudishwa kwaoooo uganda chini ya ulinzi mkali kama jambazi 2008 kabla ya zoezi kuiva.
Nimeona leo niwape hiyo story ndugu zangu wa mzumbe wajue waliponea chupuchupu ama sivyo tiss wangejuta kusoma huko mji kasoro bahari.