Mzumbe ni Mzumbe tu

muneera75

Senior Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
190
Reaction score
318
Mi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.

we unaonaje?

Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
 
Nilijua unazungumzia Mzumbe ya Wibonele ya wana M.A.V.I kumbe Mzumbe ya IDM???
 
Mi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.

we unaonaje?

Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
Kwanza nikuulize We unasoma chuo gani? au chuo kidogo cha sala?
 
Kwanza Dar Campus ungeitoa kwenye Mabishano yenu Iyo ni haina Undergraduates
Kuna watu wamenibishia kuwa eti mzumbe ni moja tu ya morogoro ndo inaonekana mzumbe ila kampasi zilizobaki yan mbeya na dar kama wamesahaulika ndomana nkasema lemme started a thread to ask[emoji23]
 
Reactions: amu
Nilijua Upo Main maana Wa Mbeya wengi ndio wana hizi kauli
Sasa unavyo sema zote ni sawa wakati hujasoma zote unamaana gani? si ungemkubalia tu uyo jamaa akaridhika ujue sometimes ubishi bishi usio na tija ni wakuuza au ni kwa vile hatujazi bando kubishana?
 
Kuna watu wamenibishia kuwa eti mzumbe ni moja tu ya morogoro ndo inaonekana mzumbe ila kampasi zilizobaki yan mbeya na dar kama wamesahaulika ndomana nkasema lemme started a thread to ask😂

Usikute wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu lakini hujui kuandika Kiswahili wala Kiingeleza.

Mbombo ngafu.
 
Reactions: amu
Mi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.

we unaonaje?

Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
Bila shaka watakujibu waliopiga kitabu Mzumbe.

Sisi ni wasoma comments tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaona tofauti, kwani mkuu umesoma kampasi zote

Achana kampasi tofauti tofauti za Mzumbe

Chuo kikuu, ni chuo kikuu tu
Mi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.

we unaonaje?

Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…