Hujaona tofauti, kwani mkuu umesoma kampasi zote
Achana kampasi tofauti tofauti za Mzumbe
Chuo kikuu, ni chuo kikuu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa mie nilipita mzumbe na nilifundisha mzumbe.Lazima Utakuwa MwanaMzumbe. M.A.V.I Ilianza Kipindi tupo Pale, kwa ndani kabisa Ilikuwa Mzumbe Atomic Vibration, kwa nje wanajiita Mzumbe Academic Village.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamaliza bado, nachojua uko mwaka wa pili kwa mujibu wa taarifa zako mwenyewe.
Na kama unasoma course ya miaka 2 utakuwa ndo semister ya mwisho.
Nawa kwanza mikono
Kuna watu wamenibishia kuwa eti mzumbe ni moja tu ya morogoro ndo inaonekana mzumbe ila kampasi zilizobaki yan mbeya na dar kama wamesahaulika ndomana nkasema lemme started a thread to ask[emoji23]
Mwenyewe nilitaka niulize hvyo hvyo..
Yaan from nowhere tuuu....
Huyu atakua amezinduka jioni hii baada ya pilau la jana, maana lile goma likikaa limekaa.
Hahahahh Mtoa Mada anaharaka ya wapi sijui [emoji2][emoji2]Aiseee..ata mi nimeshangaa?
We una uhakika gani nipo mwaka wa pili? What if nmemaliza teali?
Malecturer wanaofundisha moro sometimes wanafundisha mbeya.they used to say that there is no different kwa izo campus ila ukija mtaani washkaj wanabishana wanasema ni tofauti[emoji378][emoji378][emoji1316]
stay at home bruh
Hahahahh Mtoa Mada anaharaka ya wapi sijui [emoji2][emoji2]