Kivipi kampasi zote?Nimesoma campus zote, mbeya haina taste ya mzumbe main campus.
Kuanzia mambo ya academics had social life,mbeya campus hakuna utam wa mzumbe ule tunaoujua sisi.
Mambo ya kukata kiu, kula kitimoto changarawe,chips kwa njoroge, kupiga miti wafuaji (MADEGE)
Sent using Jamii Forums mobile app
We una uhakika gani nipo mwaka wa pili? What if nmemaliza teali?
yaani wewe unawaaibisha watu wote wanaosoma mzumbe waonekane vilaza.
mtu mwenye elimu ya chuo kikuu hata kuandika maneno ya kiswahili tu hujui.
neno tayari umeshindwa kuliandika unaandika teali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha! Uliwakilisha Kijiji kipi ? Mirambo, Karume, Shaban Robert au ?Nilijua unazungumzia Mzumbe ya Wibonele ya wana M.A.V.I kumbe Mzumbe ya IDM???
[emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa bwana!!Mwenyewe nilitaka niulize hvyo hvyo..
Yaan from nowhere tuuu....
Huyu atakua amezinduka jioni hii baada ya pilau la jana, maana lile goma likikaa limekaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kampasi ndo nini???tuanzie apo kwanzaMi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.
we unaonaje?
Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
nonsenseHusisha
Njoroge ana chipsi za aina yakeNimesoma campus zote, mbeya haina taste ya mzumbe main campus.
Kuanzia mambo ya academics had social life,mbeya campus hakuna utam wa mzumbe ule tunaoujua sisi.
Mambo ya kukata kiu, kula kitimoto changarawe,chips kwa njoroge, kupiga miti wafuaji (MADEGE)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijafanikiwa kukutana tena na chips kama ya njoroge, sijui alirogea wapi mpuuzi yuleNjoroge ana chipsi za aina yake
Insane and lunatic CHILLMi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.
we unaonaje?
Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
Kama hakuna wataalamu wa kutibu coronaMi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.
we unaonaje?
Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
Kama hakuna wataalamu wa kutibu corona
Hiyo mzumbe ni takataka
My life is mine to remember
Umesoma campus zote?Mi sijaona tofauti ya mzumbe
Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu.
Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam.
we unaonaje?
Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
Hahahaha Karume mkuu.Haha! Uliwakilisha Kijiji kipi ? Mirambo, Karume, Shaban Robert au ?