Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Are you a visiting Professor?Kwa waliopata kusoma Mzumbe nadhani watakubaliana na mimi kuwa Mzumbe University wanawajali wanafunzi wake zaidi. Kwa list kamili na vyuo vingine labda inaweza kuwa kama ifuatavyo,
- Mzumbe University
- Muccobs
- SAUT
- .....
- .....
Are you a visiting Professor?
Mbona unazidi kujichanganya!! hueleweki unataka kuongea nini! malinganisho ya wapi? ni wapi kulikuwa na competition hiyo iliyokuwa inashindanisha hizo department? hivi na wewe una elimu ya chuo kikuu? kama jibu ni ndio basi tumeliwa na siwezi kushangaa nchi kuwa shaghalabaghala hivi kama tunazalisha wasomi wa kariba yako.Malinganisho ni kutoka kwa rafiki zangu waliosoma hivyo vyuo!!
Wale wale vilaza.
Watu waliosota UDSM utawafahamu tu. Hapa tunaongelea ukaribu wa lecturers na studentsMbona unazidi kujichanganya!! hueleweki unataka kuongea nini! malinganisho ya wapi? ni wapi kulikuwa na competition hiyo iliyokuwa inashindanisha hizo department? hivi na wewe una elimu ya chuo kikuu? kama jibu ni ndio basi tumeliwa na siwezi kushangaa nchi kuwa shaghalabaghala hivi kama tunazalisha wasomi wa kariba yako.
Ukaribu huo kwa usomi wako ndio unaitwa customer care!!?Watu waliosota UDSM utawafahamu tu. Hapa tunaongelea ukaribu wa lecturers na students
Bora bongo, sijui mliopo bongo mnaonaje? Huku majuu jamaa wanaagalia vitu vingi sana ili kitu kiitwe bora, hapa customer care ni jinsi ambavyo wahadhili wanavyo wakarimu wanafunzi yaani si ubabe ubabe kama UDSM ambapo juzi juzi wamefukuza watoto wa wakulima zaidi ya 40, sasa hapo kuna kujali maisha ya mtanzania?customer care ya chuo inajumuisha pamoja na ubora wa elimu, je Mzumbe pia inatoa elimu bora?
Nilitaka kushangaa Dean wa Milembe university ukose kuchangia kitu.
Jambo lipi ulilifurahia ukiwa Mzumbe University?Hv mzumbe ni chuo! Hakuna kama Baba wa vyuo aka state university! Ni furaha kwangu kupita pale.
Kwa waliopata kusoma Mzumbe nadhani watakubaliana na mimi kuwa Mzumbe University wanawajali wanafunzi wake zaidi. Kwa list kamili na vyuo vingine labda inaweza kuwa kama ifuatavyo,
- Mzumbe University
- Muccobs
- SAUT
- .....
- .....
Kaulize waajiri na TCUHv mzumbe ni chuo! Hakuna kama Baba wa vyuo aka state university! Ni furaha kwangu kupita pale.