Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
Clinical Assistance unamaana ni ngazi ya certificate?
Ila kama ni mtumishi yeyote wa kada ya Afya na ukiwa na Ufaulu ule wa Daraja B kwa maana Diploma GPA ya 2.7 mpaka 5 unaruhusiwa kusoma kozi hiyo!! Kama ni Diploma holder na una GPA ya kutosha kusoma chuo kikuu Ruksa !
Mzumbe University, hakuna faculty ya Public Health Management. Ila kuna shule kuu ya utawala na uongozi yaani School of Public Administration and Management. (SOPAM). Moja kati ya Idara zinazounda Shule ile ni Health Services Management na sio Public Health Management.
Hata hivyo, nashindwa kukushauri kwa kuwa hujasema hiyo kozi ya Clinical Assistant ni Certificate, Diploma au Advanced Diploma?
Kwa level ya Bachelor in Health Services Management ukiwa na Diploma in Health related field utakuwa unaqualify.