Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Jamani hivi mzumbe wanaona sisi huku Arusha hatuwezi soma hivyo vyuo vyao...tunahitaji masters za evening hapa Arusha jamani tunateseka na project management...kwa nini hawafungui tawi bwana
Oky tutafikisHa ujumbe Harafu tutatoa feedback,ila nafikiri mwanza,tanga,kuna centre .
Yaap itapendeza taarifa zikifika then tukaona feed back.