Vijana wa siku hizi bwana mmekuwa legelege sana halafu wabinafsi, kupewa likizo mnalalamika kama ni adhabu wakati mkikosa nafasi ya vyuoni mnalialia. Mnataka mfanyiwe nini hasa? Je mngeambiwa lazima mpoteze mwaka mzima geshini before kuingia chuo kama enzi za zamani si mngetamani kuzikwa? Shukuru kwa kupata nafasi na ujishughulishe! Utaumia kijana