wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Yani mzungu alipopanda ndege na mbongo walikaa sehemu moja kwenye kiti yule mzungu akamzaru sana mbongo basi mzungu akamwambia mbongo na tuulizane maswali wewe ukikosa jibu unanipa 500 na mimi nikikosa natoa laki moja( yaani mzungu)
Mzungu: niambie ni nchi gani ilipigana vita vya kwanza vya dunia ikashindwa!
Mbongo!!akatoa 500 fasta akampa mzungu kumaanisha hajui jibu!! Mbongo: niambie ni kitu gani kikieenda hewani kinaenda na miguu minne 4 kikirudi kinarudi na miguu mitatu3!!
Mzungu: akatoa laki moja fasta akampa mbongo!!
Mzungu: niambie wewe ni kitu gani hicho!!
Mbongo: akatoa 500 fasta akampa mzungu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]