Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Huyu mzungu anataka kujua the real authentic experience ya Africa. Yeye anataka kuja kwenye border ya Kenya na Tanzania ili aone jinsi border inavyofanana. Halafu kwenye video inaonyesha wazi kuwa baadhi ya watu wanavuka tu kupitia njia za mkato bila passport yao kuangaliwa. Sasa yule mbunge wa Tanzania aliyekamatwa akitoroka nchini mwao mbona hakutumia njia za mkato? Aliamua tu kupita kwenye border. Angevalia tu kama chokoraa na kuvuka bila kusumbuliwa na mtu yeyote