aliishachukua uraia wa canada.Hayupo Kenya? Kwani yuko wapi?
aliishachukua uraia wa canada.
Leo umekuja na UZI tofauti sanaa Tony254Border yenyewe ni ile ya Isebania
Isibania hadi kwetu Migori mjini ni dakika 25 kwa gariLeo umekuja na UZI tofauti sanaa Tony254
Mm nijuavyo raia wengi wa mipakani. Wana kuwa na umoja ila siasa na sera mbovu ndio zina wagawa, isebania border tofauti na namanga maana isebania kuna patikana watu wenye culture moja ambao. Wawegawanywa na siasa
Lkn namanga pale ni eneo linalo axxomodate watu wa culture tofauti
Huyu mzungu anataka kujua the real authentic experience ya Africa. Yeye anataka kuja kwenye border ya Kenya na Tanzania ili aone jinsi border inavyofanana. Halafu kwenye video inaonyesha wazi kuwa baadhi ya watu wanavuka tu kupitia njia za mkato bila passport yao kuangaliwa. Sasa yule mbunge wa Tanzania aliyekamatwa akitoroka nchini mwao mbona hakutumia njia za mkato? Aliamua tu kupita kwenye border. Angevalia tu kama chokoraa na kuvuka bila kusumbuliwa na mtu yeyote
Kawadanganya huyu anaangalia border.Huyu mzungu anataka kujua the real authentic experience ya Africa. Yeye anataka kuja kwenye border ya Kenya na Tanzania ili aone jinsi border inavyofanana. Halafu kwenye video inaonyesha wazi kuwa baadhi ya watu wanavuka tu kupitia njia za mkato bila passport yao kuangaliwa. Sasa yule mbunge wa Tanzania aliyekamatwa akitoroka nchini mwao mbona hakutumia njia za mkato? Aliamua tu kupita kwenye border. Angevalia tu kama chokoraa na kuvuka bila kusumbuliwa na mtu yeyote