Mzungu awajaribu Wa-Tanzania wanaoishi Amerika. Mzungu amewaomba wampe chakula wao Wa-Tanzania wamesema chakula hawana. Ila wamempa pesa aende Mzungu kula MC DONALD matokeo yake Mzungu amewapa Dollar 1000 kama zawadi yao kwa nia njema ya kutoa pesa japo kidogo. Mungu anasema toa japo kidogo Mungu atakupa kingi zaidi. Jifunze kutoa na kusaidia wengine utabarikiwa.
Ila watu jf bwanaππππ.
Ulitaka kusema nini mwana wa kwetuππππ.
Sasa Canada si americaπππ.
Haya nikujazie nyama. CANADA IPO NORTH AMERICA.
Canada si marekani ila ni america.
Na hiyo picha hapo ni Canada. Pesa zilizotolewa hata ongea ya mzungu.