Mzungu kwa dharau! Ila Mwafrika kamuweza.

Mzungu kwa dharau! Ila Mwafrika kamuweza.

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Kuna Mwafrika alipanda ndege na kukaa karibu na mzungu ambaye anasafiri na nyani wake,jamaa mara akaenda chooni kurudi akakuta mfuko wake ulikua na ndizi uko mtupu, akamuuliza yule mama wa kizungu, ndizi zangu zi wapi? Akajibiwa kua ndugu yako kala. Mara nae yule mzungu akaenda chooni, huku nyuma jamaa akaamua kumkaba nyani, kurudi nae akamkuta nyani kafa, kuuliza kulikoni? Akamjibu, Haya mambo ya familia hayakuhusu. Mzungu hoi.
 
Mh. Kwenye ndege na nyani, kwani hakuna sehemu ya kuwekea mizigo
 
Hata iwe utani/jokes nimeuliza tu lakini
 
Back
Top Bottom