Mzungu mwenye uwezo wa kufunga hawezi kusajiliwa timu za Tanzania

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wazungu wanaojua mpira hasa kufunga huwezi kuwaona hapa nchini.
Tusidanganyane soka letu halina tofauti kubwa sana na la wazungu, ndio maana Al ahly walikuwa washindi wa 3 kwenye club za dunia Al ahly hii hii iliyofungwa na Simba.

Kuna ujinga mwingi kwa baadhi ya mashabiki wanaodai Dejan eti anajua. Ni uongo mkubwa mzungu akiwa na kiwango cha Okra tu, lazima apate nafasi kwao .

Kama Mbwana Samata tu anasajiliwa ulaya na anazodiwa sana uwezo na Mayele,unadhani unaweza kupata mzungu gani aje acheze Simba kama si magalasa matupu?
Bora kutafuta wachezaji Brazil ni rahisi kuibua kipaji huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…