Mzungu na mswahili huyu wanafanya nini?

wanafanya kama wewe unavyofanya na huyo mbuzi kwenye avatar yako!!
 
Wanapeana LOVE mzungu style.... Hii ni fashion siku hizi hapa Tanzania.... Inakua kama ZEBRA CROSS nyeusi - nyeupe😉 😉
 
They are doing what everyone does these days, I certainly don't think it's worthy of getting a thread, but whatever
(P.S most interracial relationships look freakish
at least to me they do
)
 
Wamependana, wanapeana molove!!! Sasa hapo mnashangaa nini wakati hata wengine hapa mnafanya hivyo hata kama na waafrika wenzenu? Jambo la kawaida hilo. Wamezimikiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…