Mzungu na Nyani ndani ya benki

Mzungu na Nyani ndani ya benki

Kichwa

Senior Member
Joined
Mar 15, 2007
Posts
118
Reaction score
7
Kuna mzungu alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani.Aliporudi kumkuta nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza aliyemuua.Wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu".
 
hahahahahahahahhahah....mambo ya kifamilia...teh teh teh teh...mbavu zanguuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom