Mzungu wa simba achukia baada ya kudhihakiwa mtandao leo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mdhunguuu wa MAKOLO [emoji23][emoji23][emoji23] baada ya ku trend mtandaoni leo kutokana na na mikimbio yake vs...kukosa goli la wazi ( clear chance).........

Ameifokea page moja ya michezo baada ya kupost picha yake ikiwa inaonesha goal alilokosa

Nb.....tumpumzishe huyu mdhungu[emoji16][emoji16][emoji16]
Au Basi ......mlete mdhunguuu
 
Mi huyu mzungu namuonea huruma kwakweli, sijui kama ataweza kuhimili akili za kibongo masikini....namuonea huruma
Daaaaah ila some time wabongo tunazingua.....imagine jamaa anajisikiaje. Coz mitandaon hii picha inatrend kinyama[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie mashabiki maandazi mnazingua....isitoshe nyie Utopolo ndio mnaongoza kumtupia mawe striker
Hapana mkuu.....sisi tumefurahishwa Sana na huu usajili...
 
Kuna mchezaji wa Leeds United kakosa goli kama hilo leo. Watanzania tuna matatizo, wengi wengejua kiingereza tungetia aibu duniani
 
Waliomleta ndo wakulaumiwa...

Hafai kwa mazingira na mpira wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…