Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,368 Aug 22, 2011 #21 Hata ka chain ka ngoma kapo hivo hivo japo mnambeza kuwa ni mmbea kuna chakujifunza hapa hasa mnaoparamia ugenini
Hata ka chain ka ngoma kapo hivo hivo japo mnambeza kuwa ni mmbea kuna chakujifunza hapa hasa mnaoparamia ugenini
Kibukuasili JF-Expert Member Joined May 15, 2010 Posts 1,053 Reaction score 615 Aug 22, 2011 #22 Mzunguko kweli. Nikisoma mara ya tatu naweza kuelewa labda. Ila kama ni stori ya wanaume woooooote uliowataja na dada mmoja, tena majirani, basi huo ni uchafu. Hata machangu wanaheshimu nyumbani
Mzunguko kweli. Nikisoma mara ya tatu naweza kuelewa labda. Ila kama ni stori ya wanaume woooooote uliowataja na dada mmoja, tena majirani, basi huo ni uchafu. Hata machangu wanaheshimu nyumbani
NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 920 Aug 22, 2011 #23 The Boss said: ukiishi mbagala kiburugwa....hamkosi visa vya hapa na pale... Click to expand... hivi visa ni tabia za watu-si maeneo wanayoishi-hata wa masaki-wana hizi tabia
The Boss said: ukiishi mbagala kiburugwa....hamkosi visa vya hapa na pale... Click to expand... hivi visa ni tabia za watu-si maeneo wanayoishi-hata wa masaki-wana hizi tabia