Kuanzia siku ya ngapi tangu atoke MP ndio siku za hatari?
Ahsanteni wadau.
Kuanzia siku ya ngapi tangu atoke MP ndio siku za hatari?
Ahsanteni wadau.
naomba ushauri, nina hali ya kuona damu ya hedhi siku mbili au tatu kabla ya tarehe za hedhi , kisha inapotea kabisa, alafu baada ya siku tatu ndio naanza kubleed. hili ni tatizo gani na nifanyeje? sikuwa hivi limejitokeza hivi karibuni. naomba msaada kwa anayefahamu.
Yote hii kutafuta kugongana VODA kwa VODA... Binadamu tuna kazi sanaaa
Acha vitanzi na utoe hicho kitanzi kama umeweka!