Mzunguko unaanza kuhesabiwa lini

richie hassan

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Kipindi gani unaweza ukafanya mapenz alafu mwanamke asipate mimba ....ebu niambie mzunguko wa siku unakuwaje.....na je kuhesabu siku unaanza kipind gani...
 
Oyo achakutujaza sever mzunguko mzunguko vipo umempa demu kitu cha D maana naona unakuja na vijithread vyako hapa kila saa
 
Siku ya kwanza aliyoona damu ndo unaanza kuhesabu siku ya kwanza..suala la mimba inategemea na mzunguko wake wa cku ngap..kwa maelezo zaid subir wataalam waje
 
Siku ya kwanza aliyoona damu ndo unaanza kuhesabu siku ya kwanza..suala la mimba inategemea na mzunguko wake wa cku ngap..kwa maelezo zaid subir wataalam waje

Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…