Mzunguko wa dunia katika mhimili wake

Daaaa jamaa we cjui mwalimu? Nawaonea wivu wanafunzi wako kama ni mwalimu,ila kama co mwalimu ujue unaua kipaji.
Nilimaliza kuwa mwalimu mwaka 1999.

Nilikuwa mwalimu mdogo sana kipindi hicho, wanafunzi wangu nilikuwa nimewapita kidogo tu. Nikaamua kwenda nje kujiendeleza na masomo na kutafuta maisha.
 
Na ndio hapo nawaunga mkono wanaosema dunia ni flat na sio duara kama tulivyo karirishwa hapo awali
N'a kama dunia ni flat bado utahitaji kujua mechanism inayosukuma jua toka mashariki kwenda magaribi na linapita wapi ili lirudi tena mashariki kwa siku inayofuata.
Usiamini kitu usicho na uhakikanacho uliza kama wengine walivyofanya
Acha story mingi
Weka musiki
 
mimi pia sina majibu, kwa nini hiyo ndege isikise sehemu ya kutua mfano mtu akiruka juu kama yupo kwenye gari iliyokwenye mwendo anashtukia anatua chini, kwa sababu gari imeshahama position?
 
Kwanza unapaswa kutambua kuwa kila kitu (object) duniani inakuwa attracted towards the center of the earth. Hii ni pamoja na wewe na hiyo ndege unayoiongelea. Hii inaeleza kwanini ukiruka juu lazima urudi chini unless kuna external force za kukufanya usirudi chini. Na ndege inaweza kuruka kutokana na nguvu za mafuta/engine zinazokabiliana na uvutano wa dunia. Ukiweza kwenda kilometer nyingi toka uso wa dunia hizo nguvu zinapungua.

Nikirudi kwenye swali lako no kwamba huwezi kuhisi kuzunguka kwasababu dunia unazunguka nayo at the same speed. Kama uliwahi kusafiri kwenye gari na pakawepo gari ambalo linatembea sambamba na speed zikawa sawa. Utaona kama gari limesimama na unaweza piga story na mtu aliye kwenye gari lingine.

Kwa ufupi ni kwamba kila kilicho ndani ya uvutano wa dunia kinazunguka na dunia. Ukishatoka nje ya dunia ndo unaweza kuiona dunia invayozungula kama tunavyooma picha na video kutoka vyombo vilivyoko anga za mbali.
 
OK Dany... Ndyo ni ukweli kuwa dunia inazunguka na hata kuwa na mwendokasi ambao umeutaja ila cjahakiki japo inaezekana lakini safari za ndege hu zinafanyika relatively to the rotation ha dunia kuwa inaweza kuwa opposite au away yote majibu yapo.... Ndege inapokuwa inaondoka huwa ina mwendokasi wake lakini kabla ndge haijashinda kani mburuto kutoka ardhini ndge tunaiona katika mwendokasi wake kwa sababu na ss tuko katikabdunia ......lakini nde inaposhika kani mnyanyuko(upward force) inaachana na dunia lakini kumbuka wakati dunia inazunguka ilikuwa na speed yake ambayo hiyo hiyo speed ilikuwa inapelekwa hiyo ndge...lakini baada ya ndge kupaa tu mwendokasi wake unakuwa sawa na jumla ya mwendokasi wa mwanzo wa ndege ongezea na mwendokasi wa dunia
 
Asanteni kwa majibu. Je atmosphere inazunguka pamoja na dunia hii hii na kwa speed ileile?
 
Reactions: gbg
Asanteni kwa majibu. Je atmosphere inazunguka pamoja na dunia hii hii na kwa speed ileile?
Yah dunia ina mwendokasi sawa pamoja na vile vitu vilvyojishikiza kwenye dunia kama nyumba milima miti mtu aliyekaa kwenye kigoda,pia hata ambaye yupo kwene gari linalotembea maadam halijapaa lakini kwa vitu viliyoko angani huwa vina mwendokas tofauti na wa dunia mfano; wa ndege ni sasawa na mwend wa dunia jumlosha na ule unatolewa na jet ya ndege yenye ....ambapo inaitwa relative motion.......hii ni motion ambayo huwepo katika kila kilichoachanishwa na uso wa dunia kama hewa ....ndiyo maana unaeza kuona upepo unavuma kwa kasi ni sababu una mwendokac tofaut na wa dunia .............

Ndivo navofahamu cjuy kama nimekushawishi
 
Nimekuelewa dunia hii tulipo ina mwendo kasi tofauti na ule wa atmosphere yake.

Naona wew umejitofautisha na waliojibu mwanzoni. Sasa kama mwendo ni tofauti kwanini ukiwa juu ya helcopita ndege au parachuti usione dunia inavyotembea? Nimekuuliza hivi kutokana na jibu lako hapo juu
 
MUNGU aliumba Dunia baadae akafanya mianga miwili yaani Jua na mwezi mmoja utawale mchana na mwingine usiku na Dunia yote Aliumba ikiwa Tambarare kusema Dunia ni duara ni story za kusadikika na wanasayansi MUNGU ANAWAONA
 

Kaka hebu legeza msuli basi, jamaa ameshakutafunia hilo mpaka mwisho
Iko hivi kama uko kwenye ndege na inaenda kwa speed say hiyo ya 570km/hr wewe unaweza kutembea ndani ya ndege hiyo kwenda mbele na kurudi nyuma ukiwa na speed yako ya 0.000009km/hr au nzi anaweza kuruka kwenda mbele ama nyuma ya ndege yenye speed
So hayo yote yanawezekana kwa sababu wewe, nzi na ndege mko ndani ya ndege na mko kwenye speed moja hiyo ya Ndege

So Ndege inaweza kuruka kwenda kokote na kurudi kwa sababu iko kwenye speed ya Dunia, na itashindwa kufanya hivyo ikotoka nje ya Earth gravitational force
 
Hivi mkuu nzi si anakuwa kaikanyaga dunia? Je na mimi nikiwa kwenye ndege si nakuwa nimeikanyaga ndege? Sasa ndege imeikanyaga dunia? ??? Ndiyo maana nikauliza speed ya Exosphere au ya Mesosphere ni sawa na ya mentle au ya crust? Kama ndiyo kwanini? Kama sio kwanini ukiwa kwenye ndege usione hizo tofauti? Wewe ndiye ukaze kichwa
 
Unajua dunia dunia inaki2 knaitwa ozone layer ambayo inazunguka pamoja na dunia yetu so hlo anga ndilo linatumiwa na ndege kupaa so n ngumu kuexprsience huo mzunguko
 
Hapo umejibu vyema tunasema Dunia inalizunguka Jua kurahisha tu but Uhalisia Dunia hailizunguki JUA
 
Mkuu cha kwanza jua kuwa dunia inazunguka pamoja na anga lake(atmosphere)!!......nitarudi kwa ajili ya mengine!
 
Unajua dunia dunia inaki2 knaitwa ozone layer ambayo inazunguka pamoja na dunia yetu so hlo anga ndilo linatumiwa na ndege kupaa so n ngumu kuexprsience huo mzunguko
Wewe umekuja mkuu...
Mass ya dunia ndiyo hupelekea mzunguko wa dunia kupitia centrifugal force. Sasa kwanini anga lililo na mass ndogo lizunguke sawa na kwa speed ileile na mantle crust n.k?
 
Angalia You tube, International spae station.. how it works.. utapata kuelewa na kujifunza pia mambo mengi yanayohusu anga
 
Sawa bt jua dunia ina anga lake ambalo n atmosphere so huwa inazunguka sambamba na dunia kwahyo ndege huwa ndan ya atmosphere... So n ngum kuona jinsi ki2 knapozunguka kama wewe uko ndan ya mzunguko wa hcho k2 n Sawa na inz akiwa ndan ya gari huwez kumwacha akiwa anazunguka ndan ya gar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…