Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Mchezo wa lawama "blame game" ni kama mzunguko wa umasikini "vicious cycle of poverty" Mtoto anamlaumu Baba, Baba anamlaumu Babu, Babu anawalaumu Wahenga, Wahenga wanailaumu Mizimu n.k.
Ukiuangalia mkururo wa lawama "blame chain" hakuna anayebaki salama ndiyo maana katika mzunguko wa umasikini walihitimisha kwa kusema "tuna umasikini kwa sababu ni masikini" we are poor because we are poor".
Mchezo wa lawama unatupa uwanda wa kujiliwaza "comfort zone" kwa kuamini kuwa ni maisha yetu yapo yalivyo kutokana na wengine, tunajinyang'anya wenyewe utawala wa maisha yetu " Man is the master of his/ her destiny even at his or her poorest level.
Lawama ni mduara usio na mwanzo wala mwisho "infinity cycle" mwisho. Haitatokea lawama kukoma katika mzunguko wake bila jitihada za mtu binafsi juu ya wajibu wake Kwa maisha yake.