Nilipata period tarehe1 august hapo kat nilikutana na mwenzangu,kwenye tarehe17 nilimeza dawa za malaria tarehe20 nikatokwa na damu ya hedh,kwenye tarehe25 na 26 niliduu..sasa mpaka leo sijapata siku zangu nimekua mtu wa kutembea na pedi mana hata sielewi itatoka lini..msaada wenu tafadhalin.