Mmmh..if its true sina jinsi tena..mana kuanzia leo nimekua mchovu sn,kichefuchefu,miguu kuuma n.k.
Unamfaham babayake?
Nilipata period tarehe1 august hapo kat nilikutana na mwenzangu,
kwenye tarehe17 nilimeza dawa za malaria tarehe20 nikatokwa na damu ya hedhi
Tunasubiri kumpokea mjukuu
Unamaanisha tarehe gani ulikutana na mwenzako, maana hilo neno 'hapo kati' ni ngumu sisi kuelewa?
Hiyo damu ilitoka kwa muda gani?
Siku moja pekee?
Tunasubiri kumpokea mjukuu
Unamfaham babayake?
nilikutana nae kuanzia tarehe13 mpk 17,ambapo tarehe17 usiku ndo nikameza dawa za malaria,tarehe20 nikapata period kwa siku5,then tarehe25,26 niliduu..mwez huu nimeduu tarehe6 na 7..sijapata period tangu nilivyomaliza hedh ya tarehe20 nazid kua mchovu,kichefuchefu,miguu kuuma,barid,usingizi, nk.