Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
pole ya nini?:Pole
kuukalibia uzeeepole ya nini?:
kwani hapa kuna shida gani?Ninahisi Kuna watu wengine humu JF au wanaogopa sindano au kuna matatizo yao hawapendi kupeleka sehemu husika. Hili tatizo lako sio la kuliweka wazi wazi namna hii. unaweza kuwauliza hata wanawake wenzako kuliko kutupa jiwe gizani. Wapo watakushauri wapo lakini nenda sehemu sahihi yaani Hospitali. Anyway linaweza kuwa tatizo kubwa na likaendelea na kuendelea.
Kwasababu nataka nikuibie sirikwanini private?
Kwasababu nataka nikuibie siri ya tatizo lakokwanini private?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]umezidi maigizo
nadhani una msongo ama stress za maisha. unaonyesha namna gani una u pessimist. kwako wewe kila kitu kibaya mara unene hupendi, hupendi wanaume, upendi mapenzi upendi upendi upendi kila kitu na bado unapendi. mwisho wa siku utakuwa mwendawazimi.
do not think loud.... enjoy your life be optimist you will enjoy hakuna binadamu malaika na hata wale malaika wazuri walibadilika na kuwa mashetani
kuhusu mazingira sijabadili mkuu!wala sijasafiri .pia situmii dawa zozote za uzazi maana sifanyi mapenzi na yoyoteUmebadilisha mazingira?
Ulisafiri kwa muda mrefu na sasa umerudi ulipokuwa ukiishi kabla?
Unatumia dawa zozote za uzazi wa mpango? (hii ni pamoja na morning after pills)
Umefanya ngono siku za karibuni (kabla ya mabadiliko hayo ya tarehe, na huenda ilikuwa ngono zembe hata kama ulikuwa siku salama)?
Huu mzunguko mpya umeupata kwa muda gani sasa?
kwani hapa kuna shida gani?