Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,315
Au sijakuelewa vzr? Maana hoja yako imejikita ktk wasiwasi ulionao juu yangu na si katika kufahamu kazi zangu. Maana inavyoonekana unataka video ili uone kama kweli mimi ni MZUNGUMZAJI MHAMASISHAJI na si kuona video ili unishauri juu ya ubora wa kazi yangu.Tuwekee video zako za youtube tupate uhakika vizuri...
MZUNGUMZAJI MHAMASISHAJI ni mtu anaezungumza ktk namna yenye kugusa hisia za msikilizaji na kuweza kumfanya aone anaweza kufanya jambo. Ni ile hali ya kumtoa mtu katika fikra za unyonge na kutojitambua na kumhamishia ktk fikra mpya za kuthubutu na kuweza. Hoja za mzungumzaji hujengwa katika uhalisia na mifano iliyo kweli. Mfano, kampuni inaweza kuwa inapata hasara Lakini hasara ikawa haisababishwi na ama kukosekana kwa mtaji au mazingira ya kazi bali kushuka kwa morali ya wafanyakazi. katika hali kama hii MM anaweza kupewa nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi kwa Nia na lengo la kurudisha morali.Samahani kidogo,hebu tuelezee zaidi
Au sijakuelewa vzr? Maana hoja yako imejikita ktk wasiwasi ulionao juu yangu na si katika kufahamu kazi zangu. Maana inavyoonekana unataka video ili uone kama kweli mimi ni MZUNGUMZAJI MHAMASISHAJI na si kuona video ili unishauri juu ya ubora wa kazi yangu.