Na admire beach life(maisha pembezoni mwa ziwa au bahari)

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Toka zamani nimejikuta nikiwa more interested kuishi pembezoni mwa ziwa au bahari. Muonekano wa maeneo hayo yanapendeza machoni na hunifanya nijihisi kuwa comfortable zaidi. Kiukweli nawaonea wivu watu walio maeneo hayo nahisi wanaexperience kitu tofauti na maeneo mengine. Ndoto yangu ni kuishi maeneo hayo. Kama kuna mtu anaishi maeneo hayo anipe experience yake maana soon nakuwa jirani yenu.
 
Me napenda ya hivi.
Screenshot_2018-12-08-00-32-15_1.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2018-12-08-00-32-08_1.jpg
    Screenshot_2018-12-08-00-32-08_1.jpg
    192.8 KB · Views: 26
k
Toka zamani nimejikuta nikiwa more interested kuishi pembezoni mwa ziwa au bahari. Muonekano wa maeneo hayo yanapendeza machoni na hunifanya nijihisi kuwa comfortable zaidi. Kiukweli nawaonea wivu watu walio maeneo hayo nahisi wanaexperience kitu tofauti na maeneo mengine. Ndoto yangu ni kuishi maeneo hayo. Kama kuna mtu anaishi maeneo hayo anipe experience yake maana soon nakuwa jirani yenu.
karibu Beach resort Maisha kama peponi kaupepo flani hivii mandhari flani amaizing barezee utakavyo.
mkuu ukija Dar unitaarifu mapema nikufanyie wepesi.
 
Ahsante mkuu ntakaribia.
 
Back
Top Bottom