BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
karibu Beach resort Maisha kama peponi kaupepo flani hivii mandhari flani amaizing barezee utakavyo.Toka zamani nimejikuta nikiwa more interested kuishi pembezoni mwa ziwa au bahari. Muonekano wa maeneo hayo yanapendeza machoni na hunifanya nijihisi kuwa comfortable zaidi. Kiukweli nawaonea wivu watu walio maeneo hayo nahisi wanaexperience kitu tofauti na maeneo mengine. Ndoto yangu ni kuishi maeneo hayo. Kama kuna mtu anaishi maeneo hayo anipe experience yake maana soon nakuwa jirani yenu.
Ahsante mkuu ntakaribia.k
karibu Beach resort Maisha kama peponi kaupepo flani hivii mandhari flani amaizing barezee utakavyo.
mkuu ukija Dar unitaarifu mapema nikufanyie wepesi.
Ndiyo umeamka muda huu, break ya kwanza JF.Ahsante mkuu ntakaribia.
Aisee...Ndiyo umeamka muda huu, break ya kwanza JF.