Na baridi kama hii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa matumizi ya summer [emoji848][emoji13]
 
Jamaa hapo anapata joto kali sana,kweli tuwashukuru wanajua kututunza.
 
Nimeshindwa kuelewa hiyo saa inasema saa ngapi maana mshale wa saa nawa dakika ni kama vinashindana nani atawahi kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…