ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu.....kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi ..sasa MC ,buffet,DJ ,Ukumbi, Mapambo ,magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini?..naomba mnipotezee na vikao vyenu vya whatsapp!
Corona iwepo au isiwepo, michango ya harusi kwangu ni big NO
Hahahaa kaongea kwa jazbaSisi ndo tumekupa kadi ya mchango mpaka uje utufokee huku?
Sent From Galaxy S9
Imagine! Right message wrong crowd. Aweke hata kwenye status WhatsApp basi.Hahahaa kaongea kwa jazba
WhatsApp status ujumbe utawafikia wahusika fasta yes. Au aleft tu hilo groupImagine! Right message wrong crowd. Aweke hata kwenye status WhatsApp basi.
Kuna ndoa ya jamaa mwezi wa 6. Kuna watu washachanga laki 2 mbili zao.Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi
Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini?
Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
Mpaka mwez wa sita upepo utakua umetulia acheni roho mbayaKuna ndoa ya jamaa mwezi wa 6. Kuna watu washachanga laki 2 mbili zao.
Leo hii sherehe hakuna. Imekula kwao!
Sent using Jamii Forums mobile app