Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Nipo darmotor kama za blender mashine, upo wapi
je kuna uwezekano wa kufuma mota kwa kupunguza mwendo kasi kufikia kama 10 rpm ila kuiongeza nguvu (torque) mara dufu bila kutumia gia kwa mota ya mwendo kasi wa juu ya kama hp 1.5?Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika....
Mawasiliano
+255715797533
+255766047815
Inawezekana mkuuje kuna uwezekano wa kufuma mota kwa kupunguza mwendo kasi kufikia kama 10 rpm ila kuiongeza nguvu (torque) mara dufu bila kutumia gia kwa mota ya mwendo kasi wa juu ya kama hp 1.5?
Bado upo hai?Nimwanafunzi wa mechanical engineering.... Na design motor za DC na AC ...kwa maelewano ....nazingatia ubora na mahitaji husika....
Mawasiliano
+255715797533
+255766047815