Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaaKwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha
Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !
"No offence"
mayai ya kuku au makende yakohivi waiopo jangwani naweza kupita na baiskeli pale? nimebeba mayai
haya baba kapite hapo JangwaniKwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha
Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !
"No offence"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No wonder mleta mada yupo kwenye daladala ameshika bomba..ndo maajabu kidogo tu ya JF