Na hapa ndipo bwana Sonko ametufikisha

Supporters of Kenya's President Uhuru Kenyatta protest in front of the International Criminal Court on October 8, 2014. AFP PHOTO | JAN HENNOP
 
walimpa viza huyo hao wazungu?
 
Ha ha ha ha ha ha Kenya ni shida tupu walipokuwa wanachagua Rais walijua Kenyatta ana kesi kesi imeanza wanalia lia kama watoto wadogo.
 
Supporters of Kenya's President Uhuru Kenyatta protest in front of the International Criminal Court on October 8, 2014. AFP PHOTO | JAN HENNOP
Hapa kwa kuangalia picha ni kiwanja wa ndege...unless kama kuna picha zinazoonyesha wakiprotest mahakamani!
 
Hapa kwa kuangalia picha ni kiwanja wa ndege...unless kama kuna picha zinazoonyesha wakiprotest mahakamani!
Yes there was a protest outside the court. I saw it on TV. Will try to check if there is anything in the net.
 
...and to imagine I voted this retarded thug to office, am ashamed of myself.
 
...and to imagine I voted this retarded thug to office, am ashamed of myself.

Kamanda mwenzangu nimeona kauli yako mazee na nimecheka kweli kweli maana many people are venting out
about standing in line for hours just to vote for this cartoon character!

Tusubiri 2017 to send the mofo home maana he has outdone himself for real and needs to be sent home
akampumzike na biashara yake ya 'Pharmaceuticals'.

Pamojah!
 
Hata sijui ilikuaje mpaka wakamkabidhi viza huyu mwehu!

Si muliona kuna jeans ya kuchana chana alivaa wakati M7 wa UG alipotembelea Kenya,naona hata UK pamoja na usimple wake aliona aibu,halafu kwa hiyo age Sonko inabidi abadilika hayo anayofanya ni mambo ya akina Jua Kali kwake haipendezi hata kidogo,au ndio kusema nyani ni yuleyule hata akibadili misitu.
 
Tatizo siyo la Sonko bali la wananchi waliomwamini na kumchagua awawakilishe akiwa ni kioo cha jamii anayoiwakilisha. Kwa kiasi kikubwa tunaweza kujua tabia, na mitazamo za wapiga kura wake wengi kwa kumwangalia mwakilishi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…