Na hapa tutamlaumu Gamondi ? Acheni kina Cristiano Ronaldo na Messi wang'are

Na hapa tutamlaumu Gamondi ? Acheni kina Cristiano Ronaldo na Messi wang'are

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ingawa kwa kumuangalia Azizi ki hizi mambo zinaonekana sio zake kabisa
 
Chama na Miquisone nimekutana nao sana Juliana lakini hakuna kitu ni kizuizi cha wao kuwa na perfomance ndogo kama wao wenyewe hawatajitambua.

Hizo ni starehe binafsi na sidhani kama zinachangia yeye kushuka kiwango.
unawakumbuka walcot na wilshere ? waligombana sana na wenger kuhusu ma shisha wako wapi sasa hivi ?
 
Back
Top Bottom