Baadhi ya Mitaa katika jiji la Dar-ES-Salaam, barabara zinapigwa greda (Mfano maeneo ya Magomeni). Kwa nini sasa na si mwaka jana? Nadhani hapa ni mahali pa kuanzia kampeni kwamba mchakato wa barabara nimeuanza naomba ridhaa yenu kwa kipindi cha miaka mitano nimalizie... Je hii nayo ni imekaaje wana JF?