kama majina ndiyo dini, basi wakristo wawili tu, ama unataka nini kijadiliwe?
kama majina ndiyo dini, basi wakristo wawili tu, ama unataka nini kijadiliwe?
mwenyekti wa uwt Sofia Simba ametangaza safu ya viongozi (wajumbe) wanzake 5 watakao fanyakazi nao ni:-
Hawa ghasia
shamsha mwangunga
zakia megheji
zainabu shomari
thureya abdala
kamati ya utekelezaji
pamoja nahao hapo juu ni
lucy mayenga
fatuma toufiq
subira mohamedi
fatuma hamza
wengine ni
lediana mn'gon'go
asha abdala
zainabu omari
je hapo usawa kweli umezingatiwa?
Halafu amenyanyasa wanaume, hakuna hata mwanaume mmoja wakati mwanamke alitoka ubavuni kwa mwanaume,
hivi kweli wanaume hatuwezi kumsaidia kazi za ofisini
Garbage in garbage out!! Mara nyingi mtu YEBO YEBO akipata madaraka hawezi kuwateua watu wenye akili kumzidi kwani watamoutshine kwahiyo atakuwa na wapambe wajingawajinga tu ambao hawawezi kumpandisha presha; kwahiyo msishangae kwa hao wa uwt ndio watu wa staili ya muungwana.
Msije mkajaribu kwenda kwenye uchaguzi na bango la dini ,msijaribu tena futeni fikra hizo ,hivi hamfahamu kuwa wanaofuata dini ya kiislamu ni wengi kuliko wanaofuata dini ya kikiristo.Dawa ya kuwaonyesha waislamu tumewachoka ni GENERAL election tuu.
Wakristo amkeni acheni kukubali kuburuzwa buruzwa,enough is enough,
Uchaguzi mkuu unakuja tuwaonyeshe nasi tusivyofagilia upuuzi wao,eboooooooooooooooooooooooo.