Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam katika list ya vivutio vya utalii, make na zenyewe ziko kiasili kabisa.
Barabara ni ya TANROADS tangu miaka hiyo na ni sehemu ya kutembea kwa dakika tano kwa gari, lakini unatumia dakika 30. Hiki nacho kitakuwa kivutio kikubwa ili watalii wafurahie kurushwa rushwa kwenye mashimo.
Barabara ya mbezi mwisho kwenda Bunju kupitia mbezi high school iwe ni ya kwanza kuingizwa kwenye hivi vivutio.
Hivi unajiuliza, hizi ni barabara au ni mashimo ya kuchimba mchanga?
Watu wanateseka sana na hizi barabara, daladala haziendi tena kwenye hizi barabara, je mnadhani kila mmoja ana gari private?
Ni ushauri wangu tu kizibadilisha hizi barabara ili ziingizwe kwenye vivutio vya utalii.