The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Sura Janet Jackson akili Irene uwoyaSamia kazi imemshinda. Mwigulu ndo Rais wa nchi hii.
Ahahahahahaaa..!!!Lake Victoria kubwa tuu kichwani hakuna kitu
Acha kumzushia MwiguluSamia kazi imemshinda. Mwigulu ndo Rais wa nchi hii.
Pro maguKipanya apewe tuzo ya heshima.
Utashangaa 2025 Kuna watu watampa kura.Samia kazi imemshinda. Mwigulu ndo Rais wa nchi hii.
sidhani. hata mwigulu anaweza akawa front tu maana naye hakufika pale alipo kwa nguvu zake. kuna watu wamemfikisha pale....Samia kazi imemshinda. Mwigulu ndo Rais wa nchi hii.