vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na ngumu sana kwasababu inaongozwa na kocha mwenye mbinu haswa na anayeweza kuwatumia wachezaji wake ipasavyo kuelekea kwenye mpango kazi wake
Yanga ndani ya msimu imecheza dhidi ya bingwa wa Misri na pia ni namba moja kwa ubira Africa (Al Ahly) na matokeo yaliisha kwa aggregate 1:0 faida kwa Al Ahly.
Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Algeria na namba 8 kwa ubora Africa (Belouizdad) ambapo kwasasa wanashika nafasi ya 10 na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 4:3 faida kwa Yanga
Yanga imecheza dhidi ya bingwa wa Afrika kusini na ni nsmba 4 kwa ubora Africa (Mamelodi) na matokeo yakaisha kwa aggregate ya 0:0 yapo yalikuwa ni matokeo yenye utata sana kwenye soka la Africa
Yanga imecheza na timu namba 9 kwa ubora Africa ambayo kwasasa ni ya 5 kwa ubora Africa (Simba) na matokeo ya jumla yakawa 7:2 faida kwa Yanga.
Hivyo badala ya kuiponda Simba, angalieni uimara, na ubora walionao Yanga kwasasa