"Na hiyo 4000 niliyoisevu kila wiki ndio nimeitumia bhabha"

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Wakuu habari zenu!

Mkuje wanaume wote humu tuelezane ni jinsi gani? Yule dada ile ongea yake na kujumlisha deko lile kwa yule bwana mimi kwangu huku hoi.

Ukipata mtoto sampuli ile kwanini usiwahi kutoka kazini chap, unawahi kuoga fasta huyo upo mezani, ukimaliza nduki kwa bedroom kifuatacho ni mtoto kupatikana mapema 😁😁natania tu
 
Sikiliza kwa makini lile tangazo. Ni miaka 5 imepita ila ile familia haijampata huyo mtoto. Mbona unawatonesha donda ndugu??
 
Dah acha tu kuna mzee nilikuwa nimekaa nae ameoa ana watoto 4 huyo mke sasa kisirani balaa kila hilo tangazo likipita mzee hoi hadi anasema wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…