Na huu ndiyo utambulisho wa muafrika halisi.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Haijalishi ni msomi au siyo,awe shehe au mchungaji,tajiri au masikini,mkatikumeni au mlokole!![emoji16][emoji16]haijalishi kabisa.
Ni lazima anaangukia hapa
A_Ushirikina,mahirizi na matunguli au vitu kama hivyo.
B_Uzinzi,yaani mke/mume mmoja ni marufuku.
Hata akijitahidi vipi.
Habari ndiyo hiyo wakuu.
 
Ulevi, majungu, wivu husda
Kujadili mambo yasiyomhusu[emoji16][emoji16]mzungu huwa anasema tu "as long as you are happy it's ok". Ila mtu mweusi lazima ashike bango!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…