Na huyu ndio mtu anayesadikiwa kumbaka msanii mmoja wa bongo flava

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743

KALAPINA WA KIKOSI CHA MIZINGA ALIANDIKA KWENYE MTANDAO WAKE WA FACEBOOK MANENO HAYA

mtoto kimbunga amechamba ana leta usela mavi mambo ya kizamani hivi yupo chini ya ulinzi osterbay police kwa kosa la kumbaka msanii lina

AKIWA ANAMLENGA BWANA HUYO HAPO JUU

UCHUNGUZI WANGU UNAENDELEA.............
 
Huyu mtu ni chizi,hata sijashangaa kuhusishwa kwake na tukio hilo,niliwahi kumuona kwenye show ya Fiesta(Aliyokuja Rickross) alipanda kumsapoti Roma,mambo aliyokuwa anayafanya jukwaani nilijua tu jamaa akili yake sio nzuri.Ila hongera bwana kwa kuzibua mtaro wa majitaka.....
 
Only in bongo...hivi mtu anaweza kujitapa kabaka na polisi wakaacha kufanya uchunguzi???huku first world hio ni issue kubwa sana na sio ya kujitangaza kihivyo!!!
 
alikuwa anafanyaje??
 
Only in bongo...hivi mtu anaweza kujitapa kabaka na polisi wakaacha kufanya uchunguzi???huku first world hio ni issue kubwa sana na sio ya kujitangaza kihivyo!!!

polisi gani ambao unaowaonelea ??

polisi wetu wa KIAFRIKA wenye akili kama hizi?

alikuwa anafanyaje??

Alichokuwa anachokifanya jukwaani hata hakieleweki,anajichezesha chezesha tu kama mwehu jukwaani,then alikuwa anakapelo na tshirt mkononi,kipindi Roma anaendelea kuperform ye yuko bize na kuzuga watu kama anawarushia mashabiki tshirt,yaani akawa anasababisha tunashindwa kuconcerntrate kwenye show ya Roma tunaangalia utoto anaoufanya,mi sikujua kama ni msanii nilijua Roma amemchukua tu muhuni palepale ampe tafu,hee si ndo nikaambiwa eti naye msanii
 
ila story za chini ya kapeti zinasema kuwa eti ni BU NAKO NA FI-DO
 
hivi unawezaje kujitapa umebaka na ukasema una ushaidi kuwa umebaki.
hivi miaka 30 jela unafikiri ni kwa baadh ya watu.
ngoja akanyeee debe. pole linah kwa kuzibuliwa mtaro wa maji taka
 
Lina amekanusha ku bakwa na anshangaa maneno haya yametoka wapi!anadai ana siku kadhaa hajatoka ndani wala haelewi hayo maneno mashiko yake ni nini!

source............yeye mwenyewe!
 
usela niliukataa tangu nursery school kwani nilijua utanikosesha watoto wazuri!
 
lina amekanusha ku bakwa na anshangaa maneno haya yametoka wapi!anadai ana siku kadhaa hajatoka ndani wala haelewi hayo maneno mashiko yake ni nini!

Source............yeye mwenyewe!

mkuu,we unadhani atakubali.?
Mskilize katka maelezo yake mara aseme hajatoka nje kwa siku 3,mara aseme jana usiku ametoka na mpenz wake kwenda cinema,mara ameenda club haeleweki.?
 
Habari hizi mbona hata polisi hawajathibitisha,mi nafikiri huyo Kala Pina hana tofauti na Shigongo,halafu ye kilasiku kuwaletea miyeyusho isiyoeleweka wasanii wenzie tu...Pia hapa kunawatu,bila ya kusoma na kuelewa,wanarukia kutoa comments za ajabu ajabu tu,nani kasema huyo jamaa anajitangazia?Wabongo bana!
 
Lina amekanusha ku bakwa na anshangaa maneno haya yametoka wapi!anadai ana siku kadhaa hajatoka ndani wala haelewi hayo maneno mashiko yake ni nini!

source............yeye mwenyewe!

hata ungekuwa wewe ungekanusha. Ulitegemea akubali hata kama ni kweli? Atamuuzia nani sasa akikubali kuwa alibakwa?
 
mkuu,we unadhani atakubali.?
Mskilize katka maelezo yake mara aseme hajatoka nje kwa siku 3,mara aseme jana usiku ametoka na mpenz wake kwenda cinema,mara ameenda club haeleweki.?

hawezi kueleweka,unadhani anaweza kusema......
mie mwenyewe ningeweza kukanusha vikali

hiyo aibu yake mwenyewe
 
hata ungekuwa wewe ungekanusha. Ulitegemea akubali hata kama ni kweli? Atamuuzia nani sasa akikubali kuwa alibakwa?

ila mbona yule Flora Lyimo,ndio alitoa
habari zake mwenyewe kuwa amebakwa na Mbunge Godbless Lema!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…