Wakati niko na misumari ya kugongeleaKitambo tangu 2018
Watu wamekulia bati
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanapita kimya kimya![emoji2][emoji2]
Huo mtaji unaokusanya ni wa kiasi gan? Na kuhuttle kwenye field flani inamaana kuna biashara ulikuwa unaifanya then upepo umebadilika nadhan ndio ulikuwa unamaanisha ivo kwanini ubadili upepo yan biashara kuyumba kidogo unataka kubadili inamaana mpaka kufikia hapo hiyo biashara unaifanya bila passion ya ndani unatest test na kama ni hivyo uta tapatapa sanaMkuu wapo sana.Mmoja wapo ni mm.Na trust me, dont judge us kuwa hatuko serious.Tupo serious sana tu na maisha lakin hii inatokana na sababu tofauti like tupo ambao tuna hustle kwenye field flan na baada ya kuona hupati kile unachokitaka unaamua kubadil upepo so katika mkakat wa kuja kivingine unakua unakusanya mtaji huku bado unawaza nini ukafanye.So unakua bado huna idea ila unaifikiria
It depends sasa..maana tuko watu wa level tofauti sana.Kuna mwingine hawaz biashara za 500k..mwingine mtaji wa 5m kwake anaona hawez fanya biashara ndogo k9iasi hicho na wakat kuna watu hata 100k kwke ni mtaji tosha kabisaa
Hata Mimi niliwah pewa hela lakin skuweza fanya lolote,ila kupitia kushndwa kuna ktu nmejfunza kama unajiona huwez biashara zingne kama hela n kubwa n bora kufungua duka la matumiz ya nyumban(sabuni,Michele,vocha nk)Mkuu wapo sana.Mmoja wapo ni mm.Na trust me, dont judge us kuwa hatuko serious.Tupo serious sana tu na maisha lakin hii inatokana na sababu tofauti like tupo ambao tuna hustle kwenye field flan na baada ya kuona hupati kile unachokitaka unaamua kubadil upepo so katika mkakat wa kuja kivingine unakua unakusanya mtaji huku bado unawaza nini ukafanye.So unakua bado huna idea ila unaifikiria
Kwa asilimia kubwa wanaolelewa ushuani huwa wanakuabsmart sana kwenye mishe hiz biashara.UsiwadharauSema Sababu kubwa ni kukulia ushuani Sanaa
Akili inakua huipi kazi Sana
Kuna watu hawana kipaji cha biashara. Whether amekulia ushuani au uswazi. It's their nature yaan ndivyo walivyo.Sema Sababu kubwa ni kukulia ushuani Sanaa
Akili inakua huipi kazi Sana