kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Inaumiza maana kombe lililokuwa limebakia ni kiatu cha mfungaji bora. Nacho tunatoka patupu, kuna namna kama kuna kalaana simba tujikague. Tuache siasa mpira lasivyo wataendelea kutuita mambumbumbu kila msimu, inaumiza sana hamna hata faida ya kushiriki ligi na michuano mbalimbali kama hali ni hii
Simba guvu moya
Simba guvu moya