Na kiatu cha mfungaji bora tumekosa. Mikosi imetuandama

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Inaumiza maana kombe lililokuwa limebakia ni kiatu cha mfungaji bora. Nacho tunatoka patupu, kuna namna kama kuna kalaana simba tujikague. Tuache siasa mpira lasivyo wataendelea kutuita mambumbumbu kila msimu, inaumiza sana hamna hata faida ya kushiriki ligi na michuano mbalimbali kama hali ni hii

Simba guvu moya
 
Awana chao walishindwa kushinda mechi zao muhimu wanakuja kubahatisha na kutoa macho mwishoni eti mfungaji bora, kikanuni mayele ndiye mfungaji bora ana magoli ya penalty mwenzake hana na case closed!
 
Mikosi unayo wewe na gongowazi wenzako mliotoa mchezaji kwa ubwabwa wa ikulu
 
Nendeni mkashitaki FIFA sasa
 
Kiatu nani kapewa kwahyo??kweli utopolo ni mataahira asee dah
 


MEDALI zimefungwa na lock za mabegi ya watoto wa shule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2223]
 
Simba tumekuwa kama uji wa mgonjwa hauwi ww moto hwuwi wa baridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…