Na Kwa Hili UDSM/Mlimani Tukigoma Tufukuzwe!?

Yaani hichi ndo chuo bora Tz , ila kila siku tunawaza kugoma na kutafuta haki zetu za msingi ,
hivi tukijiuliza semester gani tumesoma wiki zote 17 serious hadi unamaliza shahada yako , utapata jibu gani ?
hivi ni lini serikali itaamua kumaliza haya matatizo ya muda mrefu ?
tufanyaje ili tumalize ili tatizo la ucheleweshaji wa BOOM once and for all...
 
Aisee kama semester iliyopita imeenda faster mno. Duh! Hawa jamaa wanatuharibia sana.
 
Hela za posho kwa wakubwa pamoja na safari za jk ipo ila za wanachuo na walimu hazipo
 
Haya kilio chenu kimesikika hebu mkazichungulie account zenu ila tumieni kwa Nidham msitake mshindane na mie kwenye kiti kirefu mie mwenzenu nna uhakika kila mwezi na zingine za kiujanja ujanja ila zilizo halali"
 
Oya wana udsm,kitu tayari mbona,checkn a/c zenu.
 
ni magari zaid ya 50,labda haukuhesabu vizuri
 
Haya kilio chenu kimesikika hebu mkazichungulie account zenu ila tumieni kwa Nidham msitake mshindane na mie kwenye kiti kirefu mie mwenzenu nna uhakika kila mwezi na zingine za kiujanja ujanja ila zilizo halali"

sawa mkuu, ushauri mzuri, Ila hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
sawa mkuu, ushauri mzuri, Ila hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Ni kweli ila kipindi una umri wa kama mchicha haukua ukitumika kwa mazindiko na kuchunwa magamba yake kwa dawa lkn ukishakua mkubwa vya kupendeza husujudiwa, hufanyia mazndko na hutumika kwa dawa"
 
Ni kweli ila kipindi una umri wa kama mchicha haukua ukitumika kwa mazindiko na kuchunwa magamba yake kwa dawa lkn ukishakua mkubwa vya kupendeza husujudiwa, hufanyia mazndko na hutumika kwa dawa"

hahahahahahaaa. Safi sana mzee wa hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…